Thursday, October 13, 2011

JUMUIA YA WAMISIONARI

   Glenmary, wamisionari wa nyumbani Marekani, ni jumuia ya agano la wamisionari Katoliki- Makasisi, kidini ndugu, pamoja na wanafunzi na washiriki-wamisionari, wahubiri kwa shauku, utawala wa Mungu kwa kuleta uwepo wa Kanisa Katoliki kwenye miji midogo, maeneo ya umushionari Marekani.
   Kama shirika la wamisionari, twatamani kuelewa, kuumba, na kufunza upendo wa Yesu kwa kufanya kazi pamoja na wakristu wengine na wale wote wenye nia njema.
   Tukielekezwa na Roho Mtakatifu na kulishwa na injili ya Yesu Kristu na Ekaristi takatifu, tunatumikia kwa kupitia neno takatifu, sakramenti, maombi na huduma.
   Nia yetu ni kuwa mashahidi, na pia kushuhudia, upendo, haki, amani, umoja, maridhiano na matumaini tukiwa pamoja na watu wote tunaowatumikia.
   Jukumu letu kwa Mungu, umisionari na kila mmoja kwa mwingine ndilo msingi ambao unatuita, unatuumba, unatuunganisha na kututuma.

No comments:

Post a Comment